Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nani atapeperusha bendera ya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ?

Imechapishwa:

Wimbi la siasa wiki hii, linatupitia jicho siasa za upinzani, kumtafuta mgombea mmoja wa urais kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka 2022.

Rais Uhuru Kenyatta, akiwa na viongozi wa upinzani walipokutana na viongozi wa upinzani jijini Mombasa Agosti 10 2021
Rais Uhuru Kenyatta, akiwa na viongozi wa upinzani walipokutana na viongozi wa upinzani jijini Mombasa Agosti 10 2021 © StateHouseKenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.