Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nini maana ya wanawake kuteuliwa kwa ngazi za juu serikalini Uganda?

Imechapishwa:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewateuwa wanawake katika nyadhifa za juu serikalini, Nabbanja Nabbanja, akiteuliwa kuwa waziri mkuu,mwanajeshi mustaafu Jessica Alupo, akiteuliwa kuhudumu kama makamo rais.Victor Robert Wile, amezungumza na mchambuzi wa siasa za Uganda, Aida Mutenyo, kuelewa uteuzi huu.

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni. via REUTERS - PRESIDENTIAL PRESS SERVICE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.