Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kenya kutuma wanajeshi wake nchini DRC

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema Kenya imekubali kutuma wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo kusaidia katika vita dhidi ya ugaidi, kauli aliyotoa baada ya ziara ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jijini Kinshasa. Tunajadili.

Wanajeshi wa Kenya, wakiwa kwenye opersheni dhidi ya magaidi wa Al Shabab waliovamia jengo la Westgate jijini Nairobi Septemba 22 2013
Wanajeshi wa Kenya, wakiwa kwenye opersheni dhidi ya magaidi wa Al Shabab waliovamia jengo la Westgate jijini Nairobi Septemba 22 2013 REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.