Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania

Imechapishwa:

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufunguliwa kwa Televisheni za mitandaoni zilizofungiwa. Je, analeta mwamko mpya wa uhuru wa vyombo vya Habari nchini humo ? Tunajadili kwenye Makala ya Wimbi la Siasa.

Uhuru wa vyombo vya Habari nchini Tanzania
Uhuru wa vyombo vya Habari nchini Tanzania Brendan Smialowski / The Smialowski Image Archive / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.