Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Rais mpya wa Tanzania aahidi kupambana na ufisadi

Imechapishwa:

Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaahidi raia wake kuwa, hatokuwa na huruma na yeyote atakayehusika na wizi wa fedha za umma. Je, atafanikiwa katika changamoto hii ? Tunajadili.

Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.