Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

DRC: Waasi wa CODECO wadaiwa kutekeleza mauwaji ya kikabila

Imechapishwa:

Mashariki mwa DRC , vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu vinazidi kushika kasi hasa mauwaji ya raia, vinavyoendelezwa na makundi ya waasi.

Mazishi ya watu 62 waliokimbia makazi yao ambao waliuawa usiku wa Februari 1, 2022 katika kambi ya watu waliohamishwa ya Plaine Savo katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. - Mauaji haya yanahusishwa na mamlaka kwa wanamgambo wa CODECO.
Mazishi ya watu 62 waliokimbia makazi yao ambao waliuawa usiku wa Februari 1, 2022 katika kambi ya watu waliohamishwa ya Plaine Savo katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. - Mauaji haya yanahusishwa na mamlaka kwa wanamgambo wa CODECO. AFP - JORKIM JOTHAM PITUWA
Matangazo ya kibiashara

Makundi haya ni yale  ya ndani na ya kigeni kutoka mataifa jirani ya Uganda "ADF" Sudan kusini "Bororo" na Jamuhuri ya Afrika ya kati "LRA" .

 Wapiganaji Hao sasa hivi wame fikia hata kiwango cha kushambulia vituo vya afya na kuwazika  raia wakiwa hai.

Makala haya yamlika hali  wilayani Djugu mkowani Ituri kaskazini mashariki mwa DRC , ambapo zaidi ya raia  800 wameuawa kikatili na kundi lenye silaha la CODECO katika kipindi cha miaka 6 , kwa mujibu wa mashirika ya kirai mashariki mwa DRC .

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.