Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Kenya : Viongozi wa dini wapinga ushoga

Imechapishwa:

Kwenye haya tunajadili hatua viongozi wa dini nchini Kenya kulitaka bunge kuanza uchuguzi wa haraka kuhusiana na madai kwamba kuna njama ya makusudi kueneza sera za ushoga nchini Kenya.

Wandamanaji nchini Kenya
Wandamanaji nchini Kenya REUTERS - MONICAH MWANGI
Matangazo ya kibiashara

Viongozi hao wa dini wanadai kwamba kuna mpango wa ambao tayari umepangwa kupinga vita dhidi ya mashoga na wasagaji, na watu wanaodai kutetea haki za mashoga, hulka ambayo inaenda kinyume kabisa na maadili ya jamii za  kiafrica.

 

Kufahamu zaidi skiza makala haya.

 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.