Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

DRC : Je haki za raia zilikiukwa kipindi cha uchaguzi?

Imechapishwa:

Katika makala haya tunapiga darubini kuangazia haki za raia wa DRC wakati wa kipindi cha kampeini za uchaguzi, na baada ya uchaguzi.

Watu 26 ambao ugombea wao ulikuwa umeidhinishwa na Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (Céni)
Watu 26 ambao ugombea wao ulikuwa umeidhinishwa na Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (Céni) © Studio FMM
Matangazo ya kibiashara

Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Mapendo Kusudi alifanya mazungumzo kupitia njia ya simu na mwandishi wetu Benson Wakoli.

 

Kufahamu zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.