Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya mtoto kupata elimu ( Fizi)

Imechapishwa:

Katika haya  tunaangazia haki ya watoto kupata elimu ambapo utaskia kwa wadau mbalimbali walioazisha kutuo cha elimu cha Fizi kinatoa elimu ya somo la kifaransa  nchini Kenya  kwa watoto wakimbizi kutoka nchini DRC , Rwanda na Burundi.

Wakaazi wa Kabiria ndahi ya kituo cha Fizi nchini Kenya
Wakaazi wa Kabiria ndahi ya kituo cha Fizi nchini Kenya © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Kituo hiki  kilianzishwa mwaka 2014 lengo likiwa kuwasaidia watoto wakimbikizi kutoka mataifa ya Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ili kuendelea kujifunza na kuendeleza tamaduni ya lugha ya Kifaransa,hasa ikizingatiwa kwamba nchini Kenya raia wengi huzungumza kingereza  na Kiswahili.

 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.