Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Sudan Kusini : Serikali inaminya uhuru wa kujieleza wa wanahabari

Imechapishwa:

Kwenye makala ya juma hili tunaganzia ripoti ya bazara la haki za binadamu la umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini, ambayo iliangaizia kwa kina mathila yanayotekelezwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya wanahabari, wanaharakati pamoja na wanasiasa wa upinzani.

Maafisa wa bazara la haki za binadamu la umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini wakati wakitoa ripoti nchini Kenya 06 10 2023
Maafisa wa bazara la haki za binadamu la umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini wakati wakitoa ripoti nchini Kenya 06 10 2023 © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Umoja wa mataifa kupitia afiasi yake ya haki za biandamu nchini Sudan Kusini, imeeleza kustitishwa kwake namna waandishi wa habari wanavyonyanyaswa na vyombo vya usalama nchini Sudan Kusini, Lengo likiwa kuuzia taarifa zozote zinazopaka tope serikali, baadhi ya wanahabari wanaokiuka hili wakitishwa, kufungwa jela na hata baadhi kuuawa.

Skiza makala haya kwa mengi zaidi.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.