Nchini Kenya serikali inalenga kuanza kutoa vitambulisho vya kidijiti ili kuimarisha huduma zake mbali na kuzuia wizi wa mitandao ambao umekuwa ukiteklezwa na wahalifu.
Matangazo ya kibiashara
Hata hivo mashariki mbalimbali yamejitokeza kupinga kuanza kwa shughuli hiyo hadi pale jamii mbalimbali ambazo zimekuwa zikishuhudia changamoto za kupata vitambulisho kutokana na kukosa uraia zikitaka serikali kushughulikia matatizo hayo kabla ya kuendelea na shughuli ya kuanza usajili.
Jamii ni hizo ni pamoja raia kutoka nchini Rwanda, Wapemba, Wanubi na washona.
Ili kufahamu mengi skiza makala haya.