Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

DRC : Visa vya ubakaji kambini Nyiragongo

Imechapishwa:

Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka (MSF ) na wanawake wanaoishi  kwenye kambi baada ya kutoroka makaazi yao katika vijiji vya mkowa Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo DRC, wameeleza kuongezeka kwa visa vya ubakaji katika kambi ya Nyiragongo, wanawake hao wakitaka serikali ya DRC kuwashughulikia.

 Gari la MSF likiwa mbele ya kituo cha kupima virusi vya HIV cha Kabinda jijini Kinshasa.
Gari la MSF likiwa mbele ya kituo cha kupima virusi vya HIV cha Kabinda jijini Kinshasa. AFP PHOTO / LIONEL HEALING
Matangazo ya kibiashara

Tangu mwezi Julai mwaka 2023 hadi sasa ni  kwamba zaidi ya wanawake elfu moja wamedhulumiwa kingono eneo la  Nyiragongo Mkoani Kivu kaskazini.

 

Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.