Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Matumizi ya nguvu kupitia kiasi na polisi wakati wa maandamano

Imechapishwa:

Mashirika ya kutetea haki za binadamu Human Right Watch na Amnesty International, yametuhumu polisi  nchini Kenya kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakabili wandamanaji wakati wa maandamano yaliokuwa yameitishwa na upinzani mwezi Machi.

Maafisa wa polisi waliovalia nguo za kawaida wakiwa wamembeba mwanaharakati wakati wa maandamano ya kuwataka wabunge kukataa mswada wa fedha uliopendekezwa na serikali.REUTERS/Thomas Mukoya
Maafisa wa polisi waliovalia nguo za kawaida wakiwa wamembeba mwanaharakati wakati wa maandamano ya kuwataka wabunge kukataa mswada wa fedha uliopendekezwa na serikali.REUTERS/Thomas Mukoya REUTERS - THOMAS MUKOYA
Matangazo ya kibiashara
Mmoja kati ya waandamanaji dhidi ya sheria mpya ya kupambana na ugaidi akamatwa na polisi mjini Nairobi tarehe 18 Desemba mwaka 2014.
Mmoja kati ya waandamanaji dhidi ya sheria mpya ya kupambana na ugaidi akamatwa na polisi mjini Nairobi tarehe 18 Desemba mwaka 2014. AFP/Simon Maina
Katika ripoti yao mashirika hayo mawili, pia yametuhumu serikali ya Kenya kwa kukosa kuwachukulia hatua polisi wanaotuhumiwa kuhusika na visa vya ukiukaji wa haki za binadamu ikiwemo mauwaji ya raia 16.

Ili kufahamu mengi zaidi sikiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.