Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Serikali ya Uganda yasitisha huduma za afisi ya haki za bindamu ya umoja wa mataifa

Imechapishwa:

Uamuzi wa Serikali ya Uganda wa kutoongeza kibali cha afisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu umewaacha wadau wengi wa masuala ya haki za binadamu na wanasiasa wa upinzani wakiwa wamekata tamaa na kutaka uamuzi huo ubadilishwe. 

Rais wa Uganda Yoweri Museveni Januari 16, 2022, nyumbani kwake Kisozi.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni Januari 16, 2022, nyumbani kwake Kisozi. REUTERS - ABUBAKER LUBOWA
Matangazo ya kibiashara

Hatua inatokana na kukamilika kwa leseni iliotolewa na serikali ya uganda kwa afisi hiyo kuendelea kuhudumu nchini Uganda.

Serikali ya Uganda inasisitiza kuwa si lazima kila taifa liwe na afisi za umoja wa mataifa zinazoshugulikia haki za binadamu na kwamba tume ya kitaifa ya Uganda inayoshughulikia haki za binadamu ina nguvu zaidi za kuendelea kutekeleza wajibu uliokuwa unatekeleza na afisi hiyo ya umoja wa mataifa.

Raia wengi wa Uganda hata hivyo wamelaini hatua hiyo ya serikali na kudai kuwa tume ya kutetea haki za biandamu nchini Uganda haina nguvu na kwamba mara nyingi huegemea upande wa serikali.

Kwa ufahamu zaidi skiza makala haya.

 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.