Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Siku ya wakimbizi duniani kila mwaka Juni 20

Imechapishwa:

Kila mwaka Juni 20, dunia huadimisha siku ya wakimbizi duniani, mikakati mbalimbali ikijadiliwa ya namna ya kumaliza ukimbizi duniani.Katika makala haya tunaangazia baadhi ya mbinu za kumaliza ukimbizi duniani.

Wakimbizi wa ndani wakitoroka kambi waliokuemo kutokana na usalama mdogo huko Halungupa, karibu na mji wa Beni, Februari 2020.
Wakimbizi wa ndani wakitoroka kambi waliokuemo kutokana na usalama mdogo huko Halungupa, karibu na mji wa Beni, Februari 2020. Alexis Huguet / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.