Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Africa imetambua kuwa iko huru?

Imechapishwa:

Katika makala haya tunajadili iwapo bara la Africa, limetambua umuhimu kuwa  huru, na iwapo bado mataifa ya magharibi yana ushawishi kwa siasa kwa mataifa Africa, na uchumi wake.Benson wakoli amezungumza na mwanahistoria Lugete Mussa Lugete.

Mwenyekiti wa Mungano wa Africa, AU Moussa Faki, kwenye mkutano jijini Addis Ababa 18 disemba 2018 .
Mwenyekiti wa Mungano wa Africa, AU Moussa Faki, kwenye mkutano jijini Addis Ababa 18 disemba 2018 . AP - Ronald Zak
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.