Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mkutano wa siku mbili kati ya Urusi na Afrika umeanza rasmi,Saint Petersburg.

Imechapishwa:

Kongamano kati ya Urusi na nchi za Afrika limeanza wakati huu Moscow ikizituhumu nchi za Magharibi haswa Marekani kwa hujuma kwa kushinikiza nchi za Afrika kutohudhuria.Rais wa Urusi Vladmir Putin hii leo amewapokea viongozi hao katika mji wa Saint Petersburg.

Rais wa Urusi Vladimir Putin akikutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed huko Strel'na, karibu na Saint Petersburg, Julai 26, 2023, kabla ya mkutano wa pili wa Urusi na Afrika.
Rais wa Urusi Vladimir Putin akikutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed huko Strel'na, karibu na Saint Petersburg, Julai 26, 2023, kabla ya mkutano wa pili wa Urusi na Afrika. AFP - VLADIMIR SMIRNOV
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.