Habari RFI-Ki
Jukumu la viongizi wa Africa kutatua mzozo wa Ukraine na Urusi
Imechapishwa:
Cheza - 09:54
Ujumbe wa viongozi wa Afrika umesema umepata mafanikio makubwa katika juhudi zao za kupatanisha Urusi na Ukraine baada ya ziara yao katika mataifa hayo mawili.