Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mzozo wa rais na Waziri Mkuu nchini Somalia

Imechapishwa:

Rais wa Somalia Mohamed Farmajo na waziri mkuu wake Hussein Roble, wameendelea kuvutana hadharani hali inayotishia kuitumbukiza nchi hiyo katika mzozo mwingine wa kisiasa .Rais Farmajo akimtuhumu Roble kwa matumizi mabaya ya ofisi na kumsimamisha kazi.Unadhani wawili hawa hawewezi tena kufanya kazi pamoja?Mvutano wao unaiweka wapi Somalia ?Nini kifanyike?

Waziri Mkuu wa Somalia  Mohamed Hussein Roble
Waziri Mkuu wa Somalia Mohamed Hussein Roble Abdirahman Yusuf AFP/Archivos
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.