Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kuahirisha kwa uchaguzi nchini Somalia

Imechapishwa:

Kwa mara nyingine nchi ya Somalia imetangaza kuahirisha uchaguzi wake ambao ulikuwa umeratibiwa kuanza siku ya Jumapili.Hatua hii inakuja baada ya juma lililopita, kundi la kiislamu la Al shabaab kuwaonya wanasiasa dhidi ya kushiriki katika uchaguzi huo.Nini maoni yako kuhusu hatua hii?Haya hapa maoni yako.

Somalia: Rais Mohamed Farmajo ataka kufanyika kwa mazungumzo ya haraka ya kisiasa na wapinzani kuhusu uchaguzi (01/05/2021)
Somalia: Rais Mohamed Farmajo ataka kufanyika kwa mazungumzo ya haraka ya kisiasa na wapinzani kuhusu uchaguzi (01/05/2021) © Dr Meddy/ RFI Kiswahili
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.