Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kenya yasitisha safari za ndege za kutoka na kuingia nchini Somalia

Imechapishwa:

Taifa la kenya limefuta safari za ndege kutoka nchini Somalia, siku chache baada ya mataifa haya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia, kufutia miezi kadhaa ya mvutano.Je, unadhani hatua hii itachangia mgogoro zaidi kati ya Kenya na somalia?Haya hapa ni baadhi ya maoni yako msikilizaji.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed kushoto, na rais  wa Somalia, Mohamed Abdulahi .
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed kushoto, na rais wa Somalia, Mohamed Abdulahi . SIMON MAINA / AFP
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.