Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mvutano wa kisiasa nchini Uganda kati ya Bobi wine na rais Museveni

Imechapishwa:

Makala ya juma hili la wimbi la siasa mwandishi wetu Victor Robert Wile, ameangazia siasa za Uganda, ambapo kiongozi wa upinzani, Robert Kygulanyi maarufu kama Wine, aliagiza mawakili wake kuondoa kesi ya kupinga ushindi wa rais Yoiweri Muveseni mahakama, kwa tuhuma  mahakama kuegemea upande moja.

picha za ya kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kygulanyi na rais Yoweri Museveni, picha zilizotumika kipindi cha kampeini
picha za ya kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kygulanyi na rais Yoweri Museveni, picha zilizotumika kipindi cha kampeini SUMY SADURNI AFP
Matangazo ya kibiashara

 

 

 

 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.