Juma hili tunaangazia ukiukwaji wa haki za binadamu kwa wafanyakazi wa ndani wanaotoka Afrika Mashariki na kufanya kazi ugaibuni, hususan, Mashariki ya Kati. Hali tete imewakumba vijana wengi kutoka Afrika Mashariki wanapojikuta wanaenda kufanya kazi nje na mbali ya nchi zao na mambo kuwa tofauti walivyotegemea.
Vipindi vingine
-
Madaktari nchini Kenya wagoma kuishinikiza serikali kuzingatia haki zao
Muungano wa madaktari, wauza dawa na madakrati wa meno, KMPDU, ambao unawakilisha zaidi ya wanachama 7,000 uliitisha mgomo Machi 15, ili kudai mishahara iliyocheleweshwa, pamoja na kupewa ajira mara moja kwa madaktari wanafunzi.Mgomo ambao umesababisha hali ya sintofahamu kwa wagonjwa kwa takribani wiki tatu sasa.16/04/202409:29 -
Haki za raia wa mataifa ya Afrika wanaofanya kazi katika mataifa ya ughaibuni.
Raia wa mataifa tofauti tofauti ya Afrika ikiwemo Kenya na Uganda huelekea katika mataifa ya kiarabu kutafta ajira Kila mwaka . Changamoto nyingi zikiripotiwa.Kwenye makala haya Florence amezungumza nao wakina dada wanaofanya kazi huko .04/04/202410:08 -
Mashirika ya misaada ya kibinadamu yakumbwa na uhaba wa fedha
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeonya kuwa mashirika ya misaada yanakabiliwa na uhaba wa fedha, na kwamba yanahitaji dola milioni 400 kufikia mwisho wa mwaka huu.19/12/202309:57 -
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kushinikiza serikali kutekeleza maamuzi ya mahakama
Mtandao wa Taasisi za Kitaifa za Haki za Kibinadamu za Kiafrika (NHRI)kwa ushirikiano na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KNCHR) pamoja na Taasisi ya Sheria ya Kibinadamu na Haki za Kibinadamu ya Raoul Wallenberg iliyo na makao yake makuu nchini Sweden iliandaa warsha ya kutathmini miradi kuhusu mafunzo ya Haki za Kibinadamu barani Afrika na ufuatiliaji wa jinsi ya Kutekeleza mapendekezo ya Maamuzi.04/12/202310:05 -
Changamoto za wachimba madini ya dhahabu nchini Kenya
Mchakato wa kupata madini ya dhahabu huwa ni ngumu sana. Wengi ambao wanajihusisha na kazi hii wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutotumia vifaa bora vya kujikinga, kazi nzito na hatimaye huenda hata kuangamia iwapo maporomoko ya ardhi yanapotokea.George Ajowi amezuru Kaunti ya Migori, Magharibi mwa nchi ya Kenya. Ameandaa ripoti ifuatayo.17/08/202309:57