Pata taarifa kuu
SAFARI ZA ANGAA

Chombo chenye nguvu chaondoka duniani kuzuru Orbit

Chombo chenye nguvu kimeondoka duniani kwenda kwenye njia ya Orbit  nje ya dunia, umbali wa Kilomita Milioni 1. 5 kutoka duniani, baada ya majaribio ya siku kadhaa.

Chombo cha James Webb Space Telescope kilichoanza ziara kwenda Orbit Desemba 25 2021
Chombo cha James Webb Space Telescope kilichoanza ziara kwenda Orbit Desemba 25 2021 AFP - -
Matangazo ya kibiashara

Kituo cha James Webb Space Telescope, kimekuwa kikitumia Mabilioni ya Dola kufanikisha ujenzi wa chombo hicho kwa muda wa miongo mitatu, na kilirushwa kutoka eneo la Kourou huko French Guiana.

Inarajiwa kuwa, chombo hicho kinatarajiwa kufika katika njia hiyo ya Orbit na inatarajiwa kuwasaidia wanasayansi kuelewa kuhusu chimbuko la dunia.

Chombo hicho kilichoitwa kwa jina la Mkurugenzi wa NASA wa zamani , kinalenga pia kuonesha namna ulimwengu ulivyokuwa, karibu miaka Bilioni 14 iliyopita.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.