Pata taarifa kuu

Australia yajaribu kuimarisha uhusiano na visiwa vya Pasifiki

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi hivi sasa yuko katika ziara ya kiserikali katika nchi nane za visiwa vya Pasifiki.

Waziri mpya wa Mmbo ya Nje wa Australia amekumbusha azimio la serikali mpya ya Australia kuchukua hatua katika kukabiliana na tabia nchi na hasa kuongezeka kwa maji, hali ambayo inashuhudiwa katika baadhi ya nchi za Pasifiki kama vile visiwa vya Kiribati.
Waziri mpya wa Mmbo ya Nje wa Australia amekumbusha azimio la serikali mpya ya Australia kuchukua hatua katika kukabiliana na tabia nchi na hasa kuongezeka kwa maji, hali ambayo inashuhudiwa katika baadhi ya nchi za Pasifiki kama vile visiwa vya Kiribati. AFP PHOTO/Torsten BLACKWOOD
Matangazo ya kibiashara

Ziara hii inakuja wiki chache baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya usalama na Visiwa vya Solomon, na ambapo Beijing hivi karibuni ilipendekeza kurejesha uhusiano hadi nchi zingine kumi katika eneo hilo.

Serikali ya Australia, ambayo iliapishwa hivi karibuni, inataka kwa gharama zote kupunguza kasi ya China katika mzunguko wake wa karibu, na kuimarisha uhusiano, uliowekwa chini ya enzi ya Morrison, na mataifa haya ya visiwa vya Pasifiki.

Mara tu mkutano wa Quad ulipomalizika, Penny Wong, Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Australia, alikuwa njiani kuelekea Fiji. na kutangaza kurejesha uhusiano na kisiwa hiki baada ya kuzorota kwa muongo mmoja.

Penny Wong alizionya nchi za eneo hilo ambazo zitajaribu kama vile Visiwa vya Solomon mwezi uliopita, kutia saini mkataba wa usalama na China, wakati ambapo diplomasia ya China inajivunia aina hii ya ushirikiano,ambao inataka kutumia kujiunga na nchi nyingine za kanda hiyo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.