Pata taarifa kuu
UCHAGUZI-SIASA

Djibouti yafanya uchaguzi wa wabunge na kuhoji kuhusu uchaguzi ujao wa rais

Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa Ijumaa asubuhi huko Djibouti, nchi ndogo ya kimkakati ya Pembe la Afrika, kwa uchaguzi wa wabunge, huku maswali yakiibuka kuhusu mrithi wa rais, madarakani tangu 1999.

Katika uchaguzi wa mwisho wa rais mnamo 2021, Ismaël Omar Guelleh, au "IOG", madaraka kwa zaidi ya miongo miwili, alichaguliwa kwa zaidi ya 97% dhidi ya mfanyabiashara aliyeangushwa katika siasa na ambaye si maarufu.
Katika uchaguzi wa mwisho wa rais mnamo 2021, Ismaël Omar Guelleh, au "IOG", madaraka kwa zaidi ya miongo miwili, alichaguliwa kwa zaidi ya 97% dhidi ya mfanyabiashara aliyeangushwa katika siasa na ambaye si maarufu. AFP - TONY KARUMBA
Matangazo ya kibiashara

Vyama vikuu vya upinzaji vimesusia uchaguzi. Wabunge  65 wa Bunge la Kitaifa wanatakiwa kuchaguliwa- ambapo 58 kwa sasa wanatoka chama tawalacha UMP.

Chama kimoja pekee ambacho kitawania katika maeneo sita ya nchi hii yenye wakaazi wasiozidi milioni moja, kinatarajia kuchukua idadi kubwa ya wabunge. Chama hiki kinakabiliana na chama cha UDJ, ambacho kwa sasa kina viti vitano.

Wapiga kura wapatao 230,000 wametakiwa kupiga kura ambapo sheria inaweka kiwango cha chini cha 25% ya wanawake katika Bunge, wanaochaguliwa kwa miaka mitano wakati wa uchaguzi. Mapema asubuhi, kiwango cha ushiriki kilionekana kidogo katika vituo vya kupigia kura, kulingana na vyombo vya habari vya Djibouti.

"Kwa kila uchaguzi, ninapigia kura serikali hiyo hiyo," Souad Elmi Siyad, 64, alisema alistaafu Ijumaa. Kwa upande wake Moktar Abdi, mhandisi wa miaka 30, aliiambia AFP kwamba hataweka barua kwenye sanduku la kura: "Sijawahi kupiga kura. Sina nia ya uchaguzi huu. Familia yangu haitaenda kupiga kura".

Vyama vikuu vya upinzaji, kama vile MRD, na ARD, wamesusia uchaguzi wakitaja kuwa niuchaguzi "bandia".

Katika uchaguzi wa mwisho wa rais mnamo 2021, Ismaël Omar Guelleh, au "IOG", madaraka kwa zaidi ya miongo miwili, alichaguliwa kwa zaidi ya 97% dhidi ya mfanyabiashara aliyeangushwa katika siasa na ambaye si maarufu.

Ni mara ya tatu katika kipidi cha chini ya mwaka mmoja Jeshi la BurkinaFaso linaandaa zoezi la kuajiri vijana kujiunga na vikosi vya ulinzi na usalama. Mnamo Aprili 2022, askari 3,000, ambao umri wao haukuzidi miaka 26, waliajiriwa. Utaratibu huo pia ulizinduliwa mwezi Oktoba mwaka jana.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.