Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wananchi wa Uganda wamchagua rais na wabunge wao, watu 40 wauawa huko Irumu nchini DRC

Imechapishwa:

Yaliyojiri wiki Hii katika baadhi ya mataifa ya afrika kwanza ni Uchaguzi nchini Uganda ambako wananchi walimchagua rais na wabunge wao, mauaji kuendelea kushuhudiwa huko DRC, 40 wauawa Irumu kwenye jimbo la Ituri, Umoja wa mataifa walalamikia utovu wa usalama huko Jamhuri ya Afrika ya kati baada ya Uchaguzi, Wabunge nchini Marekani wakutana kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais Donald Trump.

Wapiga kura nchini Uganda
Wapiga kura nchini Uganda REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.