Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Athari za mvua katika ukanda wa Afrika Mashariki haswa nchini Kenya

Imechapishwa:

Wiki hii baadhi ya mambo tunayoangazia ni athari za mvua katika ukanda wa Afrika Mashariki, pia mgogoro kule Sudan, lakini pia kauli ya Ufaransa kwa Rwanda kuacha kuunga mkono kundi la M23 kule DRC. Kadhalika tutaangazia uhuru wa vyombo vya habari kuminywa nchini Burkina Faso lakini pia kibali cha kukamatwa kwa rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. 

Nguo zinaonekana zikiwa zimechafuliwa na matoep kwenye nyumba iliyofurika katika eneo lililoathiriwa sana na mvua kubwa na mafuriko huko Mai Mahiu, Kenya, tarehe 29 Aprili, 2024.
Nguo zinaonekana zikiwa zimechafuliwa na matoep kwenye nyumba iliyofurika katika eneo lililoathiriwa sana na mvua kubwa na mafuriko huko Mai Mahiu, Kenya, tarehe 29 Aprili, 2024. AFP - LUIS TATO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.