Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mauaji kuendelea katika mji wa mwenda DRC, wanafunzi warejelea shule nchini Kenya

Imechapishwa:

Ni makala ya kwanza ya mwaka mpya wa 2021 kuuawa kwa watu zaidi ya 20 katika kijiji cha Mwenda mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wanafunzi warejelea shule nchini Kenya, mgombea wa urais nchini Uganda Bobi Wine ahamisha familia yake nje ya nchi kabla ya kufanyika kwa uchaguzi nchini humo, rais Nana akufo ado wa Ghana kuwania kiti cha urais kwa muhula wa pili, na kimataifa wafuasi wakerais wa Marekani Donald Trump waandamana kupinga ushindi wake Joe Biden na kulivamia bunge la Capital Hill jijini Washington.

Mwonekano wa jiji la Beni kutoka angani
Mwonekano wa jiji la Beni kutoka angani AP Photo/Jerome Delay
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.