Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Sheria za makosa ya ubakaji kwenye nchi za Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia sheria za makosa ya ubakaji kwenye nchi za Afrika Mashariki na changamoto ambazo jamii inakabiliana nayo katika kuripoti visa vya ubakaji dhidi ya wasichana.

Wasichana nchini Kenya.
Wasichana nchini Kenya. JONATHAN ERNST / POOL / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.