Pata taarifa kuu
ITALIA

Italia: Giuseppe Conte achaguliwa kuongoza M5S

kiongozi wa zamani wa serikali nchini Italia Giuseppe Conte amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha M5S Jumamosi, hii Agosti 7, na hivyo kumaliza kipindi cha kutokuwa na uhakika kilichoripotia katika chama hicho.

Kiongozi wa zamani wa serikali ya ItaliaGiuseppe Conte.
Kiongozi wa zamani wa serikali ya ItaliaGiuseppe Conte. Tiziana Fabi AFP/Archivos
Matangazo ya kibiashara

Chama kinachowakilishwa zaidi katika Bunge la Italia tangu ushindi wake katika uchaguzi wa wabunge wa mwaka 2018, kiùepata 32% ya kura.

Italia inapitia wakati mgumu kutokana na janga la COVID-19, ambapo nchi hiyo imeathirika zaidi

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.