Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Tume huru ya Uchaguzi Kenya na mchakato wa kutangaza matokeo

Imechapishwa:

Uchaguzi wa Kenya unakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo mchakato wa kutangaza matokeo huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya, IEBC ikijinadi kuwa ina mamlaka ya kutangaza matokeo ya mwisho licha ya matokeo kutangazwa katika vituo na majimbo ya kupigia kura. Unajua ni kwa nini IEBC inatoa msimammo huo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua kwa undani.

Viongozi wa Muungano wa NASA nchini Kenya
Viongozi wa Muungano wa NASA nchini Kenya RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.