Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Makubaliano ya kisiasa kuivusha salama DRC?

Imechapishwa:

Wanasiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC wamefikia makubaliano ya mchakato wa kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi wa kidemokrasia unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwaka huu wa 2017 licha kuwepo changamoto mbalimbali. Je kusainiwa kwa makubaliano hayo kutaivusha DRC kutoka katika wimbi la ukosefu wa usalama na amani pamoja na mgogoro wa kisiasa? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata majibu ya swali hilo.

Rais wa DRC Joseph Kabila akiwa na Papa Francis wakati wa ziara ya Kabila mjini Vatican
Rais wa DRC Joseph Kabila akiwa na Papa Francis wakati wa ziara ya Kabila mjini Vatican REUTERS/Andrew Medichini/Pool
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.