Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mazungumzo ya kitaifa DRC kuleta suluhu?

Imechapishwa:

Mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kurejesha amani na maridhiano juu ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC yameanza tena huku kukiwa na matumaini makubwa ya kuzaa matunda. Je kwa kiasi gani mazungumzo haya yanaweza kuwa na tija ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa upinzani wakiwa wameyasusia?

Mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini DRC, Edem Kodjo (katikati), wakati wa mazungumzo hayo kabla ya kusitishwa kwa siku mbili
Mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini DRC, Edem Kodjo (katikati), wakati wa mazungumzo hayo kabla ya kusitishwa kwa siku mbili Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.