Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kuwasili kwa Riek Machar mjini Juba suluhisho la mgogoro wa Sudan Kusini?

Imechapishwa:

Mgogoro wa Sudan Kusini umeingia katika hatua mpya huku jitihada za kusaka amani nchini humo zikianza kuonyesha matunda baada ya kiongozi wa waasi Riek Machar kukubali kurejea Juba kwa ajili ya kuunda Serikali ya Mpito ya Umoja wa Kitaifa. Je ujio wa Riek Machar ni suluhu ya mgogoro wa Sudan Kusini? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa............

Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia)
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) REUTERS/Goran Tomasevic
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.