Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Ziara ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufungua ukurasa mpya Rwanda?

Imechapishwa:

Hivi karibuni Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alifanya ziara yake nchini Rwanda ziara ambayo ni ya kwanza kufanyika nje ya mipaka ya Tanzania. Je ni kwa nini Rwanda na si nchi nyingine zilimwalika? Pata ukweli kwa kuungana na Victor Robert Wile ndani ya Makala haya ya Wimbi la Siasa..............

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenyeji wake wa Rwanda Paul Kagame katika uzinduzi wa daraja la Rusumo.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenyeji wake wa Rwanda Paul Kagame katika uzinduzi wa daraja la Rusumo. RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.