Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Umoja wa Afrika na kigugumizi cha kutuma wanajeshi wa kulinda amani nchini Burundi

Imechapishwa:

Umoja wa Afrika bado unakabiliwa na changamoto kubwa kuhusu hali ya Burundi kukiwa na mvutano juu kupelekwa kwa wanajeshi wa kulinda amani nchini humo. Je ni kwa nini viongozi wa Umoja wa Afrika bado wana kigugumizi kuhusu hatua hiyo? Ungana na Victor Robert Wile kujua mengi zaidi katika makala haya ya Wimbi la Siasa..........

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza AFP PHOTO / LANDRY NSHIMIYE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.