Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mwafaka kuhusu mzozo wa Burkina Faso wapatikana

Imechapishwa:

Karibu katika Mjadala wa Wiki tunazungumzia hali ya kisiasa na usalama nchini Burkina Faso baada ya wanajeshi wa kumlinda rais juma lililopita kuwakamata na kuwazuia rais Michel Kafando na Waziri Mkuu Isaac Zida.Baada ya mazungumzo kati ya wanajeshi hao na viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi wa ukanda wa nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, imekubaliwa kuwa Michel Kafando atarejea katika wadhifa wake.

Viongozi wa ECOWAS wakiwa katika mkutano wa dharura kuhusu hali ya kisiasa nchini Burkina Faso
Viongozi wa ECOWAS wakiwa katika mkutano wa dharura kuhusu hali ya kisiasa nchini Burkina Faso REUTERS/Afolabi Sotunde
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.