Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Hali ya kisiasa nchini Burundi bado kitendawili maandamano yakitikisa

Imechapishwa:

Nchi ya Burundi kwa sasa inakabiliwa na hali ngumu ya kisiasa baada ya kuzuka kwa maandamano yanayolenga kupinga Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kuwania mhula wa tatu wa urais huku nchini hiyo ikikabiliwa wimbi la wakimbizi. Fuatilia makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile ujue mengi yanayojiri nchini Burundi.

Baadhi ya waandamanaji wakiandamana kupinga Rais Pierre Nkurunziza kuwania mhula wa tatu
Baadhi ya waandamanaji wakiandamana kupinga Rais Pierre Nkurunziza kuwania mhula wa tatu REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.