Wimbi la Siasa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka Sudan Kusini wagawane madaraka
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amewataka mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na Makamu wa Rais wa zamani Rieky Machar kugawana madaraka kwa kuunda serikali ya pamoja kabla y kufanyika kwa uchaguzi wa kidemokrasia. Je kauli ya Ban Ki Moon inatekelezeka? Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa.........