Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mgogoro wa Sudan Kusini na danadana za kisiasa

Imechapishwa:

Mgogoro wa Sudan Kusini bado unaendelea huku matumaini ya kumalizwa yakiwaka na kuzimika kutokana viongozi rais Salva Kiir na mpinzani wake Rieky Machar kushindwa kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa. Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa kuangazia hali ya mambo nchini Sudan Kusini............

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (koshoto) na Rieky Machar (kulia) katika moja ya mazungumzo
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (koshoto) na Rieky Machar (kulia) katika moja ya mazungumzo EUTERS/Goran Tomasevic (
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.