Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Marekani, washirika wake na harakati za kusambaratisha kundi la Islamic State

Imechapishwa:

Kitendawili cha Marekani, washirika wake na harakati za kusambaratisha kundi la Islamic State kinaendelea kuwa kigumu kwa sababu Marekani pamoja na kuendeleza mashambulizi ya anga lakini wapiganaji wa kijihadi wanajibu mapigo. Je Marekani pamoja washirika wake wataweza kukitegua kitendawili hicho? Fuatilia makala ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile upate undani wa sakata hili.......

Hali ya mambo katika eneo la Kobane mpakani mwa Syria na Uturuki
Hali ya mambo katika eneo la Kobane mpakani mwa Syria na Uturuki REUTERS/Umit Bektas
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.