Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Tanzania: shughuli za Bunge maalumu la Katiba zaendelea kususiwa na baadhi ya wabunge

Imechapishwa:

Makala ya Wimbi la Siasa inaangazia hali ya kisiasa nchini Tanzania ambapo, mchakato wa kusaka Katiba mpya unaendelea, huku mvutano kati ya wabunge ukiendelea kujitokeza baada ya baadhi ya wabunge kususia kushiriki vikao vya Bunge maalumu la Katiba. Hali hiyo inajiri wakati raia wakiendelea kusubiri katiba mpya.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta, akielezea kuhusu uamzi wa baadhi ya wabunge waliojiundoa Bungeni.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta, akielezea kuhusu uamzi wa baadhi ya wabunge waliojiundoa Bungeni. Issa Michuzi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.