Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

RCA : makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Seleka na Anti-balaka

Imechapishwa:

Makala haya ya Wimbi la Siasa inaangaziya mazungumzo ya kusaka amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, baada ya makundi hasimu nchini humo Seleka na Anti-balaka kukubali kusitisha mashafuko na kukubali kujumuika na wanasiasa wengine kwa ujenzi wa taifa, ambalo limeshuhudia machafuko ya kikabila yaliyosababisha vifo vya maefu ya raia, na wengine kulazimika kuyahama makaazi yao.

Mkutano kuhusu kuboresha maridhiano kati ya makundi hasimu na wanasiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, mkutano ambao umefanyika katika mji mkuu wa Congo, Brazzaville.
Mkutano kuhusu kuboresha maridhiano kati ya makundi hasimu na wanasiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, mkutano ambao umefanyika katika mji mkuu wa Congo, Brazzaville. AFP PHOTO/GUY-GERVAIS KITINA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.