Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Fahamu mkutano wa dharura kati ya Raisi wa Ufaransa na wakuu wa mataifa mbalimbali ya barani Afrika

Imechapishwa:

Makala ya Wimbi juma hili inajikita katika mkutano jijini Parisi ulioitishwa na raisi wa ufaransa Fancois Hollande kujadili hali ya usala wa nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya kati na masuala mengine ya kiuchumi barani Afrika.

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.