Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kutokuaminiana NI kikwazo cha mazungumzo ya nyuklia kati ya mataifa makubwa duniani na nchi ya Iran

Imechapishwa:

Mjumbe mkuu wa Iran katika mazungumzo ya Geneva Abbas Araghachi alionya juu ya kutokuaminiana kama moja ya kikwazo cha mazungumzo yahusuyo nyuklia kati ya mataifa makubwa duniani na nchi ya Iran..mazungumzo ambayo yameendelea nchini Uswisi huku mashaka yakiendelea kuonekana katika msuala nyeti.....ungana na mtangazaji wajko ambaye anajikita kuangazia masuala haya na wataalamu wa masuala ya siasa....

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.