Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Maazimio ya viongozi wa G8 kuhusu uchumi wa dunia

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia kumalizika kwa mkutano wa siku mbili wa viongozi toka nchi nane tajiri duniani maarufu kama G8 ambao walikutana nchini Ireland ya Kaskazini na kukubaliana katika masuala kadhaa ya kunusuru uchumi wa dunia.Miongoni mwa mambo waliyokubaliana na kuhusu Ukwepaji wa Kodi, Uwazi kwenye uwekezaji, Mikataba ya kibiashara na malipo ya fedha kukomboa mateka.Ungana na mtangazaji Emmanuel Makundi akiwa na wageni wake kwa njia ya simu, George Gandye taalamu wa uchumi toka chuo kikuu cha DSM na Dr. Honesty Ngowi mhadhiri wa masuala ya uchumi toka chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam.

Viongozi wa nchi za G8 waliokutana nchini Uingereza juma hili
Viongozi wa nchi za G8 waliokutana nchini Uingereza juma hili Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.