Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na uma

Imechapishwa:

Shughuli za sekta binafsi na uwekezaji ni vyanzo vikuu ya ukuaji wa uchumi, uzalishaji wa ajira na maendeleo endelevu.Kwa wastani, sekta binafsi inachangia zaidi ya Asilimia 80 ya mapato ya serikali kwa watu wa kipato cha chini na cha kati, kupitia kodi ya kampuni, kodi ya rasilimali na mapato ya kodi kwa wafanyakazi.Sekta hii inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya ajira katika nchi zinazoendelea kiuchumi.

Mkuu wa kamisheni ya umoja wa Afrika, Mussa Fakhi Mahamat, akiteta jambo na Dr Peter Mathuki, katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nairobi, Kenya 09 /01 / 2023
Mkuu wa kamisheni ya umoja wa Afrika, Mussa Fakhi Mahamat, akiteta jambo na Dr Peter Mathuki, katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nairobi, Kenya 09 /01 / 2023 © Jumuiyaeac
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.