Pata taarifa kuu

Kombe la Dunia 2022: Argentina yaibuka mshindi katika fainali ya Kombe la Dunia

Argentina ya Lionel Messi imeshinda Kombe la Dunia la tatu katika historia yake baada ya mechi ya fainali iliyoifanya Ufaransa kuvuta pumzi baada ya kuelemewa. Agentina wanatwaa kombe kwa kushinda mfululizo kupitia mikwaju ya penalti.

Lionel Messi (kushoto) na Angel Di Maria waliifungia Argentina mabao katika kipindi cha kwanza cha fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Ufaransa.
Lionel Messi (kushoto) na Angel Di Maria waliifungia Argentina mabao katika kipindi cha kwanza cha fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Ufaransa. AP - Manu Fernandez
Matangazo ya kibiashara

Tangu mwaka 1986 katika enzi ya Diego Maradona, Argentina imekuwa ikiwinda taji la ulimwengu. Ilikuwa ngumu, lakini Lionel Messi na vijana wake waliweza kurudisha Kombe huko Buenos Aires.

Habari zaidi zinakujia...

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.