Pata taarifa kuu
RAGA- HONG KONG

Mashindano ya raga kwa wachezaji saba kila upande yaanza Hong Kong.

Makala ya mwaka 2023 kutafuta taji la mchezo wa raga duniani katika msururu wa michuano ya raga kwa wachezaji saba  kwa upande wa wanaume, yanaanza siku ya Ijumaa  huko Hong Kong.

Wachezaji wa mchezo wa raga
Wachezaji wa mchezo wa raga REUTERS/Gonzalo Fuentes
Matangazo ya kibiashara

Bara la Afrika linawakilishwa na Kenya ambao wamewahi kushinda taji hili mara moja mwaka 2016 na Afrika Kusini ambayo imebeba mataji  38.

 

Timu zinazoshiriki katika mashindano hayo :

Kundi A: Australia, New Zealand, Samoa, Hong Kong

Kundi B: Afrika Kusini, Ufaransa, Uingereza, Uruguay

Kundi C: Fiji, Marekani, Hispania, Japan

Kundi D: Argentina, Ireland, Kenya, Canada

 

Ratiba Ijumaa Novemba 04 2022:

Ireland vs Kenya

Argentina vs Canada

Marekani vs Hispania

Fiji vs Japan

Ufaransa vs Uingereza

Afrika Kusini vs Uruguay

New Zealand vs Samoa

Australia vs Hong Kong

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.